Flash Sale! to get a free eCookbook with our top 25 recipes.

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Vodacom,Halotel,Tigo na Airtel

Jinsi ya kucheza TatuMzuka

Jinsi ya kucheza TatuMzuka ,tatu mzuka ni nini,matokeo ya tatu mzuka,namba zilizo shinda tatu mzuka,tatu mzuka 2022,tatu mzuka download,tatu mzuka mawasiliano,tatu mzuka ni nini,matokeo ya tatu mzuka,namba zilizo shinda tatu mzuka,tatu mzuka 2022,tatu mzuka download,tatu mzuka mawasiliano,Jinsi ya kucheza TatuMzuka Vodacom,Jinsi ya kucheza TatuMzuka tigo,Jinsi ya kucheza TatuMzuka Airtel,Jinsi ya kucheza TatuMzuka halotel.

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Vodacom,Halotel,Tigo na Airtel

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Tanzania kupitia Vodacom,Halotel,Tigo na Airtel Chagua namba 3 kuanzia 0 hadi 9 katika mpangilio wowote na uweke dau la chini Tzs 500. Ni Rahisi tu! Linganisha namba na ushinde hadi mara 200 ya dau na TatuMzuka! Na kwa kila Tzs 500 unayotumia inakuapa nafasi ya kuingia kwenye droo ya wiki ya Mzuka Jackpot ambapo unaweza kushinda hadi 10,000,000

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Vodacom

 1.  Bonyeza *150*00#
 2. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
 3. Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
 4. Ingiza namba ya kumbukumbu(namba zako 3 za bahati Mfano 123)
 5. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
 6. Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako

Jinsi ya kucheza TatuMzuka tigo

 1. Bonyeza *150*01#
 2. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
 3. Chagua 3 kisha weka namba ya kampuni(555111)
 4. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
 5. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
 6. Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Airtel

 1. Bonyeza *150*60#
 2. Chagua namba 5 (Lipia Bili)
 3. Chagua 4 kisha weka namba ya kampuni(555111)
 4. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
 5. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500-30,000
 6. Ingiza namba yako ya siri Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako

Jinsi ya kucheza TatuMzuka Halotel

 1. Bonyeza *150*88#
 2. Chagua namba 4 (Lipia Bili)
 3. Chagua 4 Bahati nasibu
 4. Chagua namba 2 TatuMzuka
 5. Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati Mfano 123)
 6. Weka kiasi cha Dau unalotaka kuingiza shilingi 500 – 30,000
 7. Ingiza namba yako ya siri, Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
Jinsi ya kucheza TatuMzuka
Jinsi ya kucheza TatuMzuka

CONTACT DETAILS 

Tafadhali wasiliana na timu yetu kupitia barua pepe: help@tatumzuka.co.tz

Pia unaweza kututumia ujumbe kwa Facebook kwa jina @tatumzuka au kupitia ukurasa wetu wa instagram @tatumzuka.

Nambari ya simu: 0659 070 070.