
Jinsi ya kuweka pesa WASAFI BET | How to deposit in WASAFI BET
If you’re reading this article you will understand How to deposit in WASAFI BET , Wasafibet Tanzania’s favorite betting company in Tanzania. Wasafi Bet offers you the best-boosted odds, fastest live betting, 2MB application, Wasafi Ligi, casino, jackpots, instant deposits and withdrawals, and best bonusesso in here you will get there contact in case of any problem you face when you do Bet.
WASAFI (WCB) COMPANY
Wasafi Classic Baby (popularly known as WCB) is a Tanzania-based record label founded by Tanzanian musician Diamond Platnumz. Owner of wasafi Born Oct 2, 1989. Naseeb Abdul Juma Issack, popularly known by his stage name Diamond Platnumz, is a Tanzanian bongo flava recording artist, dancer, philanthropist and a businessman from Tandale, Dar es Salaam. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Zoom Extra and Wasafi Media.

Jinsi ya kuweka pesa WASAFI BET
Jinsi ya kuweka pesa WASAFI BET (Vodacom, Tigo, Airtel)
Kiasi cha chini cha Amana ni TZS. 100 na kiwango cha juu zaidi ni malipo ya kipekee ya akaunti yako ya Mobile Money.
VODACOM MPESA
- Piga *150*00#
- Bonyeza namba 4 (Lipa kwa Mpesa)
- Bonyeza namba 4 (Weka namba ya kampuni)
- Ingiza namba ya kampuni(123333)
- Weka namba ya kumbukumbu ya malipo(wasafibet)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri – Thibitisha
TIGO PESA
- Piga *150*01#
- Bonyeza namba 4(Lipa bili)
- Bonyeza namba 3(ingiza namba ya kampuni)
- Ingiza namba ya kampuni(666123)
- Ingiza kiasi
- Ingiza namba ya siri kuhakiki
Airtel Money
- Piga *150*60#
- Bonyeza namba 4(Lipa bili)
- Bonyeza namba 3(ingiza namba ya kampuni)
- Ingiza namba ya kampuni(666123)
- Ingiza kiasi
- Ingiza namba ya siri kuhakiki
Kwa msaada zaidi na maelekezo piga simu hapa >> Namba ya simu WasafiBet – Huduma kwa wateja Wasafi BET