
Lipa bili ya Maji kwa M-pesa, Artiel Money, Tigo Pesa,Jinsi ya kulipia bila ya Maji kwa M-pesa, Artiel Money, Tigo Pesa · Piga *150*60# · Chagua namba 4 (Lipa Bili) · Chagua namba 3 (Malipo ya Serikali).
KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA M-PESA
- Piga *150*00#
- Chagua namba 4 (Lipia Bili)
- Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
- Chagua namba 1 (Namba ya Malipo)
- Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha
KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA TIGO-PESA
- Piga *150*01#
- Chagua namba 4 (Lipa Bili)
- Chagua namba 5 (Malipo ya Serikali)
- Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha
KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA AIRTEL MONEY
- Piga *150*60#
- Chagua namba 4 (Lipa Bili)
- Chagua namba 3 (Malipo ya Serikali)
- Ingiza Kiasi
- Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
- Weka namba ya siri
KULIPIA BILI YA MAJI SHUWASA KWA HALOPESA
- Piga *150*88#
- Chagua namba 4 (Lipa Bili)
- Chagua namba 7 (Malipo ya Serikali)
- Ingiza Namba ya Malipo(99xxxxxxxxxx)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri
- Thibitisha
KULIPA KWA BENKI ZA NBC, CRDB NA NMB
- Jaza Fomu
- Rudisha Fomu kwa Muhudumu wa Benki
- Utapewa Stakabadhi ya Malipo
Tovuti Zinazohusiana
NEMC
KASHWASA
Bonde la Ziwa Viktoria
TOVUTI YA TAIF
Mawasiliano
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Shinyanga
P.O. Box 298
info@shuwasa.or.tz
Simu: 028- 2762073
Nukushi: 028- 2763551